P.O.Box 75207 Sinza kwa Remmy plot no 124 Dar es Salaam , mob 0713669018 /0715165448 / 0752854067, parapandaarts@gmail.com
Wednesday, December 14, 2011
Sunday, September 25, 2011
Sunday, September 18, 2011
TIKETI ZA TAR22 ZIMEKWISHA!!
Tickets for the Opening Night VIP performance are in high demand so please book yours soon.
This theatre event is a MUST SEE...
Waterfront VIP Performance Tickets Available
This theatre event is a MUST SEE...
Waterfront VIP Performance Tickets Available
- 21 September
18:30 doors open,
19:00 start -
only 30,000/- including reception.
Russian-Tanzanian Cultural Centre Public Performance, 22 Sept, SOLD OUT!!
Tickets available at all A Novel Idea Shops in Dar es Salaam and the Gaming Shop in Shoppers plaza near supermarket entrance and at Black Tomato at Makutano House, Masaki.
This production is supported by the Embassy of Sweden and the Russian-Tanzanian Cultural Centre
Let's support Theatre!
Visit: www.trinitypromotionstz.blogspot.com
Monday, September 12, 2011
Tuesday, August 30, 2011
ZIMEBAKI SIKU CHACHE.....
Watanzania sasa zamu ya kupata uhondo wa onyesho la Jukwaani lilisukwa na kusukika kwa kiwango cha kimataifa unazidi kukaribia..Ni kutoka kwa kudi mahiri la sanaa za maonyesho nchini,la Parapanda Theatre Lab
Friday, August 19, 2011
PARAPANDA ILIVYOPAGAWISHA SWEDEN
Bibie Eva Nyambe wa kikundi cha Parapanda Theatre Lab akipagawisha mashabiki nchini Sweden ambapo kundi hilo linafanya maonyesho yake
Baadhi ya wasanii wa kundi mahiri la sanaa nchini Tanzania, Parapanda Theatre Lab, wakiwa jukwaani Sweden tayari kwa kuonyesha igizo la ANTIGONE ambapo kwa mara ya kwanza litaigizwa kwa lugha ya Kiswahili.
Msanii Frank Samatwa(aliyeshika zeze) akionyesha umahiri wake katika kupiga zeze la kigogo wakati Parapanda ilipoonyesha igizo la ANTIGONE nchini Sweden. Pembeni yake ni Eva Nyambe na Amani Lukuli.
"Hata waTanzania tunaweza kupiga Djembe"-Daudi, msanii wa Parapanda akionyesha ufundi wake na ubunifu katika kuipiga ngoma ya Djembe yenye asili ya Afrika Magharibi wakati wa ziara yao nchini Sweden. Nyuma yake ni Shabo akimsindikiza kwa ngoma.
Friday, August 12, 2011
Wednesday, August 10, 2011
Tuesday, August 9, 2011
CLASSICAL GREEK TRAGEDY “ANTIGONE” COMES TO TANZANIA
The production is a joint venture between Tanzania’s longstanding theatre company, Parapanda Theatre Lab and Gothenburg City Theater. This partnership goes back to 2004 and since then there have been a number of workshops and exchanges and the two theatrical institutes. The team have now reached a point where they are embarking on a cutting edge production which marries interpretations from both Swedish and Tanzanian. The seeds of what is expected to be a vibrant production were planted in 2009 with meetings and further discussions held in May this year.
For more info, visit http://trinitypromotionstz.blogspot.com/
Thursday, August 4, 2011
Friday, February 18, 2011
LIVE STAGE PERFORMANCES by PARAPANDA THEATRE LAB
..ni kwa mara nyingine tena kwa onyesho lililoboreshwa zaidi kukidhi haja ya watazamaji wa sanaa za jukwaani..
Ni aLhamisi; TAR 24 FEBRUARI 2011 @ RUSSIAN CULTURAL CENTRE(Ocean Road-DSM) from 7:00pm...
It's PARAPANDA THEATRE LAB Presenting a stage play NGUZO MAMA+LIVE BAND+POEMS+TRADITIONAL DANCES..and Many More..
with Proffessional and Multi-Talented Actors, Dancers, Storytellers, Musicians..Using new & advanced sound system,lights, costumes and props..
Don't Plan to MISS..and GET YOUR TICKET Just for only Tshs.5000/=..
mEET yOu TheRe...!!!
For more more info;please contact
Executive Director-Mgunga Mwa Mnyenyelwa 0715 55 81 27/0754 693623
Naamala Samson
Marketing Manager
Parapanda Theatre Lab
Phone:0716 74 86 74
EMAIL: parapandaarts@gmail.com
Thursday, February 10, 2011
THE SHOW WAS LIKE THIS..........
Eva Nyambe akisimulia Hadithi
Wanawake wa Patata wakiwa taabani baada ya kushindwa kuinua NGUZO MAMA.
Kutokea kushoto: Profesa Penina Mhando Mlama, mwandishi wa NGUZO MAMA na nguli wa sanaa za maonyesho akiwa na Profesa Amandina Lihamba ambaye pia ni mwandishi mahiri wa tamthiliya za kiswahili na mkufunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam, wakishuhudia onyesho la Parapanda Theatre Lab katika ukumbi wa Russian Culture Centre.
Sunday, January 16, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)