Saturday, June 16, 2012

Parapanda Theater Lab Trust  would like to invite everyone to their live performance at Museum village on 23rd June 2012 from 12: 30 pm to 9:00.  the entrance is free,you are all welcome 

Sunday, September 25, 2011

ANTIGONE YAGONGA HODI TASUBA

Wasanii wa Parapanda Theatre Lab wakiwa sambamba na wasanii kutoka Sweden wa kundi la Gothernburg City Theatre, wakilishambulia jukwaa la Taasisi ya Sanaa na Utamaduni BAGAMOYO(TASUBA).

Sunday, September 18, 2011

TIKETI ZA TAR22 ZIMEKWISHA!!

Tickets for the Opening Night VIP performance are in high demand so please book yours soon.

This theatre event is a MUST SEE...

Waterfront VIP Performance Tickets Available 
- 21 September 
18:30 doors open, 
19:00 start - 
only 30,000/- including reception. 
Russian-Tanzanian Cultural Centre Public Performance,  22 Sept, SOLD OUT!!

Tickets available at all A Novel Idea Shops in Dar es Salaam and the Gaming Shop in Shoppers plaza near supermarket entrance and at Black Tomato at Makutano House, Masaki.
This production is supported by the Embassy of Sweden and the Russian-Tanzanian Cultural Centre
Let's support Theatre!
 
Visit: www.trinitypromotionstz.blogspot.com

Monday, September 12, 2011

GET YOUR TICKET NOW!!.....Tiketi zinapatikana sehemu zifuatazo: MADUKA YOTE YA "A NOVEL IDEA", BLACK TOMATO(Makutano House), THE GAMING KIOSK(Shoppers Plaza), Idara ya FINE AND PERFORMING ARTS(FPA, University of Dar Es Salaam), Ofisi za Parapanda Theatre Lab(Mabibo Mwisho) na Maduka ya Nguo AFRIKA SANA(Kijitonyama/Sinza).


Tuesday, August 30, 2011

ZIMEBAKI SIKU CHACHE.....

Watanzania sasa zamu ya kupata uhondo wa onyesho la Jukwaani lilisukwa na kusukika kwa kiwango cha kimataifa unazidi kukaribia..Ni kutoka kwa kudi mahiri la sanaa za maonyesho nchini,la Parapanda Theatre Lab

Friday, August 19, 2011

PARAPANDA ILIVYOPAGAWISHA SWEDEN

Shabo akilicharaza gitaa wakati Parapanda ikiwasha moto jukwaani mbele ya mamia ya watazamaji nchini Sweden
 Bibie Eva Nyambe wa kikundi cha Parapanda Theatre Lab akipagawisha mashabiki nchini Sweden ambapo kundi hilo linafanya maonyesho yake
 Baadhi ya wasanii wa kundi mahiri la sanaa nchini Tanzania, Parapanda Theatre Lab, wakiwa jukwaani Sweden tayari kwa kuonyesha igizo la ANTIGONE ambapo kwa mara ya kwanza litaigizwa kwa lugha ya Kiswahili.
 Msanii Frank Samatwa(aliyeshika zeze) akionyesha umahiri wake katika kupiga zeze la kigogo wakati Parapanda ilipoonyesha igizo la ANTIGONE nchini Sweden. Pembeni yake ni Eva Nyambe na Amani Lukuli.

"Hata waTanzania tunaweza kupiga Djembe"-Daudi, msanii wa Parapanda akionyesha ufundi wake na ubunifu katika kuipiga ngoma ya Djembe yenye asili ya Afrika Magharibi wakati wa ziara yao nchini Sweden. Nyuma yake ni Shabo akimsindikiza kwa ngoma.