Friday, November 19, 2010

PARAPANDA TO RELEASE A NEW SONG "KIAPO NA AGANO"

PARAPANDA THEATRE LAB is going to conduct a press conference ON MONDAY(22/11/2010) from 10am-11am at BASATA's Venue; to introduce to media and funs a new song called "KIAPO NA AGANO"...It aims at reflecting the promises that our politicians/leaders promised us during the campaigns towards GENERAL ELECTION 2010 and remind them to fullfill as they said..PARAPANDA has got some hits like "Tangulia Mwalimu","Tufungulieni-Dedicated to... Orphans in Makete;IRINGA" and "Futeni Machozi"...YOU ARE ALL WELLCOME!

PARAPANDA THEATRE LAB inatarajia kufanya mkutano na waandishi wa habari,wanamuziki, wanaharakati na wadau wote siku ya JUMATATU(22/11/2010) katika ukumbi wa BASATA kuanzia saa4asubuhi-saa5asubuhi kuutambulisha kwa waandishi na wadau wengine wimbo mpya uitwao,"KIAPO NA AGANO".. Wimbo huu umelenga kuwakumbusha viongozi na wanasiasa kuhusu ahadi walizotoa kipindi cha kampeni kuelekea UCHAGUZI MKUU 2010 na kwamba wanachi tunasubiri utekelezwaji wa ahadi hizo kama walivyoziahidi..PARAPANDA imeshawahi kutoa nyimbo kali na zilizowahi kutamba kama,"Tangulia Mwalimu","Tufungulieni-Maalum kwa watoto YATIMA wa MAKETE;IRINGA" na "Futeni Machozi"...NYOTE MNAKARIBISHWA KWENYE TUKIO HILI LA KIPEKEE!!

1 comment:

Register domain India said...

Good review of songs. Already I have seen it... Thanks for sharing...